Kupanda kwa chama cha ACT Wazalendo kwa sehemu kubwa kumetokana na uwezo wa Zitto Kabwe ambaye ingawa si tajiri, lakini anajua namna ya kutafuta fedha za kufanya siasa. Mbowe ni tajiri lakini ...
VIONGOZI wa vyama vya viasa na wachambuzi wa siasa wamewashauri viongozi wapya wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA) ...
Ushindani wa kuwania uenyekiti wa chama hicho ulizaa mgogoro mkubwa baina ya mbowe na mwanasiasa mwegine maarufu wa upinzani nchini Tanzania, Zitto Kabwe. Mwishowe Zitto alitimuliwa Chadema na ...
Ulinzi ukiwa umeimarishwa kwa Mwenyekiti Mpya wa Chadema Taifa, Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, wakati wa mkutano huo, jana. HISTORIA imeandikwa katika Chama cha Demokrasia na Maend ...
MWENYEKITI wa Kanda ya Victoria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekia Wenje amemjia juu Godbless Lema, akidai ni miongoni mwa makada waliosuka mpango wa kumpindua Mwenyekiti wao, Free ...