Hata hivyo mchuano umekuwa mkali zaidi kati ya Lissu na Mbowe ambapo wafuasi wao, hasa katika mitandao ya kijamii, wamebadilishana maneno na shutma mbalimbali. Lissu amemshutumu Mbowe kwa ...
Siku ya Jumatano (11 Septemba 2024), Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema nia ya maandamano hayo ni kudai uhai wa wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho waliopotezwa. Hata hivyo ...