Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2025 leo, Jumatano Novemba 5, 2025, ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia Septemba 10, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano Novemba 5, 2023 na ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Kutoka kwa mwandishi wetu maalum huko Abidjan, "Alassane Ouattara, asilimia 89.77!" » Na rais wa Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) ametangaza "usindi mkubwa" kwa mkuu wa nchi katika duru ya kwanza ya ...
Uharibifu mkubwa umeshuhudiwa kwa vituo vya mabasi ya mwendokasi, vituo vya kupigia kura, mabasi, na maeneo ya biashara. Yusuph Mazimu na Lizzy Masinga Shirika la Amnesty International limezitaka ...
Utafiti mmoja uligundua kwamba takriban asilimia 80 ya wagonjwa wa kifaduro nchini Japani waliambukizwa na aina ya ugonjwa huo inaostahimili viua vijasumu. NHK imepata matokeo ya utafiti huo. Hii ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania INEC inaendelea na shughuli ya kutoa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 licha ya maandamano yanayoendelea yanayotaka uchaguzi huo ufutwe. Angela ...
YANGA jioni ya leo Jumamosi inashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kurudiana na Silver Strikers ya Malawi katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mechi ya kwanza ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameonesha wasiwasi wake mkubwa kufuatia machafuko yaliyoripotiwa baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika nchini Cameroon ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results