Lissu amemng'oa madarakani Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kama mwenyekiti kwa miongo miwili. Mbowe amekuwa wa kwanza kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.