Mamia kadhaa ya watu wameandamana jijini Tokyo wakitaka jeshi la Myanmar kumaliza ukandamizaji wake kwa raia. Raia wa Myanmar na wafuasi wao walikusanyika mbele ya ubalozi wa nchi hiyo jana ...
Hii ni awamu ya nne ya kubadilishana mateka na wafungwa tangu kuafikiwa kwa mwafaka wa kusitisha makabiliano kati ya pande hizo mbili. Katika hatua nyengine, wafungwa wa Kiplestina wanashikiliwa ...
Mwanajeshi huyo wa kike amewasilishwa kwa Shirika la Msalaba Mwekundu katika eneo la Jabalia katika Ukanda wa Gaza na wapiganaji wa Hamas. Berger ni mateka wa kwanza kati ya wanane wanaotarajiwa ...
Nibwo bwa mbere Tshisekedi agize icyo atangaza nyuma y'uko umutwe wa M23 ufashe umujyi wa Goma, kandi amakuru atandukanye akemeza ko ubu urimo gukomeza mu ntara ya Kivu y'Epfo ugana mu mujyi wa ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kumeshuhudiwa mzozo na ukosefu wa utulivu kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu. Hata hivyo katika muongo mmoja uliopita mapigano makali ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 na kuahidi kuwa serikali itapitia upya maslahi ya kada ya walimu ili kuipa hadhi inayostahili. Pia amesema ...
Lissu alisema pamoja na kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa misimamo lakini hawajawahi kugombana. "Ndugu zangu na wajumbe wenzangu, huu ni mkutano wangu wa kwanza ndani ya ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Jeshi ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya ...