MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amekoleza joto la uchaguzi ndani ya chama hicho kwa kusema mgombea atakayeshindwa na kuamua kuhama, atakiacha kikiwa imara.
HUKU kukiwa na kauli tofauti juu ya hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) dhidi ya mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa viongozi wakuu, Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe ...
Dar es Salaam. Opposition party Chadema’s national Chairman Freeman Mbowe has brushed off claims circulating on social media that the Tanzanian diaspora does not support his continued leadership. In ...
Kwa jumla maswali hayo, yanaongeza shinikizo la kujulikana kwa wahusika, hatua walizochukuliwa dhidi yao, kuthibitisha kile kilichoelezwa na Rais Samia kuwa moto huo ulitokea kwa makusudi ya ...
DAR ES SALAAM; DAR ES SALAAM; ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amesema ni vyema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ...
Dar es Salaam. Chadema chairman, Mr Freeman Mbowe, has called on the councils of youth and elders to stand united and reject intraparty divisions. He made the appeal on Monday, January 13, as the ...
Alisema lengo la kugombea nafasi hiyo ni kutaka Mbowe astaafu kwa heshima kwa sababu tangu ashike nafasi hiyo miaka 21 iliyopita, amekijenga chama hicho vizuri. “Kuna hatari moja sehemu ya kugombea ...
Nimemwona Wakili Alute Mghwai, kaka wa Tundu Lissu, akisema anamtambua Freeman Mbowe kama mwanafamilia wao. Alute amezungumza kwa hisia kuhusu uhusika wa Mbowe katika uokoaji wa maisha ya Lissu, mdogo ...