Kikao hicho kimefanyika baada ya Chadema kumaliza uchaguzi wake wa ndani wa mabaraza ya wanawake (Bawacha), vijana (Bavicha) ...
Akifafanua zaidi kuhusu kauli ya No reforms No Election, Lissu amesema hawamaanishi kwamba watasusia uchaguzi. “Siyo kwamba ...
KUWATUMIA watu wanaoishi na ulemavu ili kujinufaisha mfano kuwaweka barabarani na bakuli kuomba fedha ni mambo yanayofanyika ...
VIONGOZI wa dini, wametakiwa kutumia majukwaa ya dini na nyumba za ibada, kudumisha amani na utulivu uliopo nchini. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, alisema hayo leo Januari 30, 2025 jijini Dar es Sa ...
Wasanii wa Muziki Afrika na Duniani kote wanakutana visiwani Zanzibar kufurahia uzuri na Upekee wa Muziki, wageni mbalimbali hukusanyika kushuhudia Tamasha la Sauti za Busara kila ifikao mwezi ...
Bomu lililokuwa limeanguka liligonga nyumba iliyo karibu na yake na yeye na majirani zake waliguswa na marisau ya kombora. "Nikapata majeraha mkononi mwangu. Mzee mwenye umri wa miaka 65 ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kumeshuhudiwa mzozo na ukosefu wa utulivu kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu. Hata hivyo katika muongo mmoja uliopita mapigano makali ...