WAKATI Kocha mpya wa Ken Gold, Vladslav Heric akianza kazi katika timu hiyo akisaka rekodi ya kwanza nchini, anakabiliwa na mitihani kadhaa itakayompaisha au kumwangusha.
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo ...
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imesema kupanda kwa viwango vya ubora wa Ligi Kuu Bara kumetokana na mambo makuu manne.
Idara ya Uhamiaji imethibitisha kwamba wachezaji watatu wanaocheza Singida Black Stars, Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Ivory Coast) na Mohamed Damaro Camara ...
MOJA ya mambo yanayosisimua kwenye soka ni linapokuja dirisha la usajili. Liwe la majira ya kiangazi au la Januari ambalo ndilo linaendelea hivi sasa.
MSHAMBULIAJI wa Mbeya Kwanza, Ditram Nchimbi ameamua kuvunja ukimya juu ya kusakamwa mitandaoni kutokana na video inayomuonyesha akimvisha mwanamke pete ya uchumba, huku akiweka bayana ...
BADO Klabu ya Pamba Jiji inaumiza kichwa namna ya kumalizana na mshambuliaji, Mghana Erick Okutu ambaye mwanzo ilielezwa angejiunga na KenGold dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari ...
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya juzi Jumanne ameanza mazoezi ya gym tangu alipoumia Agosti 28 timu hiyo ilipocheza dhidi Azam FC katika Uwanja wa Major Generali Isamuhyo.
IMEFICHUKA kwamba waarabu wa Saudi Arabia wametenga Pauni 296 milioni kwenda Real Madrid kwa ajili ya kuipata saini ya ...
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ametaja mambo yatakayombeba kwenye mechi 14 za duru la pili zilizobaki ili kuihakikishia timu hiyo kucheza Ligi Kuu msimu ujao.
BEKI wa Tanzania Prisons, Paul Ngalema amesema sababu ya kutoonekana na timu hiyo tangu asajiliwe msimu huu anauguza majeraha ya ajali ya bodaboda aliyopata Julai mwaka 2024, mkoani kwao Dodoma.
WAKATI mashabiki wa Simba wakisubiria kwa hamu droo ya mechi za robo fainali za Kombe la Shirikisho Afrika ili kujua timu yao ...