Akizungumza kwa heshima kubwa, Heche amesema anamuheshimu sana Freeman Mbowe kama baba yake wa kisiasa na mlezi wake, akisisitiza kuwa hata katika mazingira ya ushindani hatoweza kumkosea heshima kwa ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria na mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Ezekia Wenje, amesema migongano inayoonekana kati ya Mwenyekiti wa chama ...
Maandalizi ya ukumbi watakapokaa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watakaoamua hatima ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema sababu ya yeye kugombea tena nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho ni kuendeleza mapambano ili kutimiza maono waliyonayo ...
The hands of a patient with a skin rash caused by the mpox virus are pictured at the treatment centre of Vijana Hospital in Kinshasa, Democratic Republic of Congo on August 30, 2024. DRC is the ...
Kenya has allowed one more company to build a plant for the production of liquefied petroleum gas (LPG), opening the market to competition. Focus Container Freight Stations Company was approved to ...
Joto kali limepanda ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo. Awali, Lissu alikuwa ametangaza kutetea nafasi ...
DAR ES SALAAM; MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amezitaja faida za maridhiano kati ya chama chake na serikali pamoja na kutangaza nia ya kutetea nafasi ya ...